Advertisement
Toa toa toa Toa toa toa Toa toa toa Toa toa toa
Nasema Toa toa toa Toa toa toa Toa toa toa Toa toa toa
Nitaji savannah na make up Nikijichanganya unalipa Kwenye pochi atazuga ana pesa mingi Kumbe ana wanja na tissue
Pesa kidogo, anavimba Pesa kidogo, ati club anaona joto Pesa kidogo, aah pesa kidogo Yaani anakubeza

Order ya msosi anagoogle Mi sijui nitaongea nini Mchizi kaanzisha fujo Varangati kaniachia mimi
Advertisement
Pesa kidogo, anavimba Pesa kidogo, ati club anaona joto Pesa kidogo, aah pesa kidogo Yaani anakubeza
Pesa kidogo, anavimba Pesa kidogo, ati club anaona joto Pesa kidogo, aah pesa kidogo Yaani anakubeza
Niko na Khali mbovu anavimba Ati msanii anaimba Mara anajiita simba Simba msanii, simba Yudah
Pesa kidogo, anavimba Pesa kidogo, ati club anaona joto Pesa kidogo, aah pesa kidogo Yaani anakubeza
Pesa kidogo, anavimba Pesa kidogo, ati club anaona joto Pesa kidogo, aah pesa kidogo tu