Advertisement


Wagwan…

Kufisia alama jo kama mbeibe amebeba Shika mkono ufikishe mpaka kwa keja Kuta vitu mpaka jirani akateta Wape wape wape wape…

[HOOK] Hakuna bleki buda na kata maji mpaka che Hapa msupa jo hakuna smama ni kubend Na ma waiter buda wamesleki sana jo kize Wape wape wape wape… Basi mbeibe Nipe saba ukiinama  saba ukiinama Saba ukiinama  saba ukiinama Nipe saba ukiinama  saba ukiinama Saba ukiinama, saba ukiinama

Nikimdigi fiti nacheki jo amebeba Niko macho kwake niko ma handas ketepa Chapanisha kuni ibaki mebeide amesepa Ni madiva tu n aka we dimanga pereka Hakuna kushare jo fisi akika ngorea Top layer alaa a man a gyalis sorea On air balance na ureverse orea Leo lazma katambe, orea orea

[HOOK] Hakuna bleki buda na kata maji mpaka che Hapa msupa jo hakuna smama ni kubend Na ma waiter buda wamesleki sana jo kize Wape wape wape wape… Basi mbeibe Nipe saba ukiinama  saba ukiinama Saba ukiinama  saba ukiinama Nipe saba ukiinama  saba ukiinama Saba ukiinama , saba ukiinama


Advertisement


Cheki niko maji zimeshika juu wadhi Dunda ni kudunta tunadunda mpaka di Shika manzi fiti akikubali jo unaplead Kama ni kumdigi ni kumdigi juu ya meza Cheki na kamsupa kama ngwati nakata Daily ni kusele ata mambanga kwa  nganya Msupa aki downtown akichochwa anapanada Anasmama anarombosa kiuno haga kuwamurder

Hakuna bleki buda na kata maji mpaka che Hapa msupa jo hakuna smama ni kubend Na ma waiter buda wamesleki sana jo kize Wape wape wape wape… Basi mbeibe Nipe saba ukiinama  saba ukiinama saba ukiinama  saba ukiinama Nipe saba ukiinama  saba ukiinama Saba ukiinama  saba ukiinama

Niko dryspell miezi kadhaa Umejaza nyuma kama taxin ya wariaa Kutu imejaa na siezi fika bei ya Samantha Pia ukikaza mi nta ora  ntadandia Mi Natasha kina Flora na Maria Ukirombosa mi na kosa Amani … aaa Na kuna number ukichora ntapandia Na kuta haraka hakuna doz na kwamilia

[HOOK] Hakuna bleki buda na kata maji mpaka che Hapa msupa jo hakuna smama ni kubend Na ma waiter buda wamesleki sana jo kize Wape wape wape wape… Basi mbeibe Nipe saba ukiinama  saba ukiinama Saba ukiinama  saba ukiinama Nipe saba ukiinama  saba ukiinama Saba ukiinama  saba ukiinama

Nipe saba ukiinama Nipe saba ukiinama Nipe saba ukiinama Saba ukiinama   Saba ukiinama

 


Advertisement


You May Also Like

Montgomery Gentry’s Tried And True Lyrics

Advertisement (Clay Davidson/Matt Hendrix) I was born in a small town in…

JB Andreassi

Advertisement JB Andreassi is a real estate agent who came into limelight…

Vienna Gardens, Ilorin, Nigeria

Advertisement Located in the heart of Ilorin, Vienna Gardens with nice swimming…

What does Steve Jobs daughter, Erin Siena do? Wiki, Net Worth, Family, Siblings Reed and Eve Jobs, College

Advertisement Who is Erin Siena Jobs? Erin Siena Jobs was born on…