Advertisement
[VERSE 1] Ona nguvu zimeniisha Ghafla nimekua bubu Kama mtoto najiliza Nifute chozi malikia wangu Kulikosa penzi lako shida Napata homa Unanifanya nichukie mapenzi Nayaogopa
Au sababu mchizi anahudumia Hajakupenda kweli anakutumia Yuko na wewe na nyumbani ana mke pia Hunitaki single boy yoh nami na moyo
[CHORUS] Mamy nieleze, nieleze Niendelee kusubiri Au nafsi najikatili mimi Mamy nieleze, nieleze Niendelee kusubiri Au nafsi najikatili mimi
Ouuhhhhh… yeah
[VERSE 2] Kwenye basi lako mi ndio abiria Ukinishusha njiani utanionea Mi nashambuliwa maradhi naugulia mwenyewe Kwenye basi lako mi ndio abiria Ukinishusha njiani utanionea Mi nashambuliwa maradhi naugulia mwenyewe Mpaka natamani upofu Macho yangu yasikuone Moyo unachomwa mwiba Nikikuona unatoka na yeye
Advertisement
Au sababu mchizi anahudumia Hajakupenda kweli anakutumia Yuko na wewe na nyumbani ana mke pia Hunitaki single boy yoh nami na moyo
[CHORUS] Mamy nieleze, nieleze Niendelee kusubiri Au nafsi najikatili mimi Mamy nieleze, nieleze Niendelee kusubiri Au nafsi najikatili mimi
[Outro] Hata siwezi kusonga Mbele naona jau Eti nikimbie kinyonga Mbona nimaajabu Ndio ivo tena apeche alololo Labda nitapataga tomorrow Nikupe Magari ya kifahari Na nyumba Morogoro
Ringtone on the beat