Advertisement
Wazee wa kupima oili Siku hizi nyama tunafunga kwenye foili (Yamotoo) Kale ka mchezo hakana ubaili Maana kwenye baridi kananipanga mi (Kajotoo) Chapa mwendo, bwaga manyanga Pesa ya simba leo nabet yanga Kisanga, majanga Vita vya bunduki we unakuja na panga
Na utamu tobo we ni kutoboa Mashine haisagi na kukoboa Kisu cha kukata dodo nishakinoa Maana sitomaliza kwa kudonoa
Aah slow down punguza pupa Huyu mpe yule snitch tunamruka (fireburn) Rasta bangi, mchaga duka Bi faya hataki kulinda siku hizi anataka kusuka
Mbele … Sitaki mbele Mbele … Sitaki mbele Mbele … Sitaki mbele Mbili kwa mbili Mbele … Sitaki mbele Mbele … Sitaki mbele Mbele … Sitaki mbele Mbili kwa mbili Mbele … Sitaki mbele Mbele … Sitaki mbele Mbele … Sitaki mbele Mbili kwa mbili
Tuko kisasa huendi kwa manati Unalia njaa wenzako mambo safi Uki overtake tunavuta shati Eti umefilisika kisa pale kati Hutaki kuoga why uvue nguo? Ukitaka lala nnje patiana funguo
Advertisement
Na utamu tobo we ni kutoboa Mashine haisagi na kukoboa Kisu cha kukata dodo nishakinoa Maana sitomaliza kwa kudonoa Mwendo wa chuma na checha Uoga akiteta Nuna wacheke(wanokoo)
Mbele …sitaki mbele Mbele …sitaki mbele Mbele …sitaki mbele Mbili kwa mbili Mbele …sitaki mbele Mbele …sitaki mbele Mbele …sitaki mbele Mbili kwa mbili
Mbele …sitaki mbele Mbele …sitaki mbele Mbele …sitaki mbele Mbili kwa mbili Mbele …sitaki mbele Mbele …sitaki mbele Mbele …sitaki mbele Mbili kwa mbili
Wa amani amekama lake Mbele kwa mbele, mbele Mvuvi sio lazima uvue shati Mbele kwa mbele, mbele Unauliza utatupata wapi Mbele kwa mbele, mbele Ukilegeza tunakaza nati
Mbele,mbele Free nation Mbele,mbele… Aaah aaah aaah … Aaah aaah aaah … (huoo) Aaahh aaah aaah aaah ……umekata