Advertisement


Umenifuta alama ya upendo Kwenye penzi langu Tena ukashindwa kuficha matendo Kwenye mboni langu

Najihisi moyo una ganzi Ngumu kufika safari yangu Kinywa kibogoyo silambi Wala kutafuna

Aliniteka akili yangu Nikazama mazima mazima Mwisho wa siku ikala kwangu Kichwa ikabaki na jina

Oooh yanauma Ndio maana kila siku shida shida Tajiri wa huzuni Ndonda limekosa tiba Nitapona lini?

Mie eh acha iwe, we acha iwe  Acha iwe, bora nibaki mwenyewe Acha iwe, we acha iwe Acha iwe, bora nibaki mwenyewe


Advertisement


Nilishapona kidonda Ona kaja kukitonesha Kinywa nong’ona kupenda Nakosa jibu kuwtwa nakesha

Naumwa kuwaza eh Huenda pengine moyo hujaridhia Nyota angaza eh Mizani nipime wapi nafsi itatulia

Ama ni nuksi mikosi Nyota ya punda yangu kubeba mizigo Ninakazana kufosi Cha jana kuvunda kwangu mi nishazoe

Kila siku shida shida Tajiri wa huzuni Ndonda limekosa tiba Nitapona lini?

Mie eh acha iwe, we acha iwe  Acha iwe, bora nibaki mwenyewe Acha iwe, we acha iwe Acha iwe, bora nibaki mwenyewe

Kila siku shida shida Tajiri wa huzuni Ndonda limekosa tiba Nitapona lini mie


Advertisement


You May Also Like

How to pronounce fallacious

Advertisement What does fallacious mean? 1 : embodying a fallacy a fallacious…

Piotr Michael Wikipedia, Age, Biography, Height, Instagram, Girlfriend, Net Worth

Advertisement         Piotr Michael is a very talented actor.…

How to become a cult leader

Advertisement How do you start a cult? How to Build a Cult…

Pelican Residence, Bakau, Gambia

Advertisement WelcomeWe Welcome you to one of the best Residence Apartments in…