Advertisement

Nisizame Yesu, uniokoe Nisizame Yesu, uniokoe   Nisizame uniokoe Nisizame uniokoe

Nisizame Yesu, uniokoe Nisizame Yesu, uniokoe   Nisizame uniokoe Nisizame uniokoe

Magonjwa yananiandama Hospitali zote nimaliza Kupona sijapona Magonjwa yananiandama

Madaktari wote nimemaliza Kupona sijapona Njoo haraka unisaidie, nisizame Uje hima unikoe, nisizame

Nisizame Yesu, uniokoe Nisizame Yesu, uniokoe   Nisizame uniokoe Nisizame uniokoe

Nisizame Yesu, uniokoe Nisizame Yesu, uniokoe   Nisizame uniokoe Nisizame uniokoe

Naona huduma hii imekuwa nzito Naona huduma hii Baba yangu kama ni mzigo Naona huduma hii imekuwa nzito Umekuwa kama mwiba Lakini nakuita unisaidie, nisizame Nisizame Baba, nisizame

Advertisement

Nisizame Yesu, uniokoe Nisizame Yesu, uniokoe   Nisizame uniokoe Nisizame uniokoe

Nisizame Yesu, uniokoe Nisizame Yesu, uniokoe   Nisizame uniokoe Nisizame uniokoe

Elimu nimemaliza Kazi nimetafuta, nimekosa Mwenye nyumba naye amekukuja Akidai kodi ya nyumba

Hata shilingi mimi sina Nimejaribu kuomba kwa majirani Ndugu zangu wote hakuna msaada Marafiki zangu, hakuna msaada Ni wewe tu msaada wangu

Nisizame Hili ni ombi langu, nisizame

Nisizame Yesu, uniokoe Nisizame Yesu, uniokoe   Nisizame uniokoe Nisizame uniokoe

Nisizame Yesu, uniokoe Nisizame Yesu, uniokoe   Nisizame uniokoe Nisizame uniokoe

Advertisement

You May Also Like

BooBoo Stewart Bio, Age, Girlfriend, Parents, Twilight, Descendants, Ethnicity, Movies

Advertisement Booboo Stewart Biography Booboo Stewart is an American actor. He is…

Does koala need to drink a lot

Advertisement Do koalas drink a lot? Koalas, which are not bears despite…

Emily Debowski

Advertisement Emily Debowski is an eminent actress. She is most known for…

Faye Kingslee o

Advertisement Read about Faye Kingslee Wikipedia, Age, Height, Boyfriend, Instagram and 10…